MKWASA AWATEMA NGASSA, CANNAVARO, MSUVA TAIFA STARS, AWAREJESHA KADO NA KAZIMOTO

KOCHA Mkuu wa timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars amewarejesha kikosini kipa Shaaban Hassan Kado na kiungo Mwinyi Kazimoto Mwitu...