AZAM fc imeibuka na uShindi wa bao 1-0 katika mchezo wa kombe la mapinduzi uliopigwa usiku huu visiwani Zanzabar baada ya kuirarua KMKM. ...
REKODI YA MADRID YA MECHI 22 YA KIMASHINDANO BILA KUFUNGWA YAVUNJA NA VALENCIA.
Baada ya Madrid kucheza mechi 22 bila kupoteza katika michezo ya kimashindano,hatimaye leo wamechezea kichapo cha bao 2-1 toka kwa Val...
MATOKEO FA CUP,UNITED,CHELSEA,ARSENAL,MAN CITY ZASHINDA
FT Dover 0 - 4 Crystal Palace FT Queens Park Rangers 0 - 3 Sheffield United FT Sunderland 1 - 0 Leeds Un...
MCHEZAJI WA ANZI MAKHACHKALA APIGWA RISASI NA KUFARIKI DUNIA
Gasan Magomedov mwenye umri wa miaka 20 anayeichezea kilabu ya Urusi Anzi Makhachkala ameuawa kwa kupigwa risasi karibu na nyu...
MATOKEO KOMBE LA MAPINDUZI YANGA YAUA 4-0,COUTINHO,SHAMAN WANG'ARA.
matokeo kombe la mapinduzi FT KCCA 3 : 0 Mtende 20:15 KMKM - : - AZAM FC itachezwa saa mbili na nusu usiku FT Taifa jan...
MATOKEO LIGI KUU,NDANDA FC IMEIKUNG'UTA PRISONS BAO 1-0 UGENINI
TIMU ya prisons leo imechezea kichapo cha bao 1-0 katika uwanja wake wa nyumbani katika mchezo ambao ulikuwa mgumu kutokana na timu zot...
RATIBA LIGI KUU YA HISPANIA BARCELONA,REAL MADRID MZIGONI LEO,MECHI KATI YA GETAFE NA RAYO VALLECONO IMEMALIZIKA
Spain - Liga BBVA January 4 FT Getafe 1 - 2 Rayo Vallecano 08:00 Valencia ? - ? Real Madrid 10:0...
MATOKEO & RATIBA YA LEO KOMBE LA MAPINDUZI
RATIBA YA LEO SIKU YA JUMAPILI. JUMAMOSI MATOKEO JKU 1 VS 1 MTIBWA SUGAR MAFUNZO 0 VS 1 SIMBA BAO PEKEE LA SAID NDEMLA IJUMAA ...
RATIBA LIGI KUU YA VODACOM LEO JUMAPILI
RATIBA LIGI KUU SAA KUMI JIONI 16:00 T.PRISONS - : - NDANDA