Mbeya City fc imechabangwa mabao 4-1 na Vipers FC (Zamani Bunamwaya) inayoshiriki ligi ya Uganda katika mechi ya kimataifa ya kirafiki iliy...
Chelsea 4-2 Swansea: Diego Costa apiga hat-trick
mchezaji bora wa Agosti inchini uingereza leo ameifungia chelsea bao tatu, ni hat trick yake ya kwanza England na kufikisha mabao saba nd...
SIMBA 0-0 NDANDA FC
SIMBA 0-0 NDANDA FC,MCHEZO ULIOFANYIKA KATIKA UWANJA WA NANGWANDA SIJAONA
OMOG:AZAM FC IPO TAYARI KUIVAA YANGA KESHO
Omog asema Azam FC iko tayari kubeba Ngao kesho mbele ya Yanga SC KOCHA Mk...
YANGA KUIVAA AZAM KESHO
Kikosi cha Young Africans Sports Club Pazia la Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania bara litafunguliwa kesho kwa mchezo wa Ngao ya Jamii...
ARSENAL 2-2 MAN CITY NGOMA INOGIRE
Timu ya Arsenal, wakiwa kwao na Welback ndani, wametoka Sare ya Bao 2-2 na Mabingwa Watetezi wa England Manchester City katika M...
SHEARER ASEMA WELBECK ATAWIKA ARSENAL
Mshambuliaji mpya wa kilabu ya Arsenal Danny Welbeck anaweza kufunga mabao 25 kwa msimu mmoja ,hayo ni matamshi ya a...
Maji maji waanika kikosi chao
Maji maji waanika kikosi chao Na Alex Mapunda,Iringa TIMU ya soka ya Maji Maji toka Mkoani Ruvuma tayari imesha...
TANZAMA VIKOSI VINAVYOTARAJIA KUANZA MUDA MFUPI UJAO KATI YA ARSENALI VS MANCHESTER CITY SAA NANE NA DAKIKA 45
NS Arsenal ? - ? Manchester City [ Line-ups | X ] formations : [ 4-1-4-1 ] [ 4-4-2 ] lin...
KOCHA WA GHANA AMEACHA KAZI
Kocha Appiah kuaga Black Stars Kocha wa timu ya taifa ya Ghana Kwesi Appiah, ameacha kazi kama kocha wa timu ya taifa baada ya kuku...
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO,MECHI KUBWA ARSENAL VS MANCHERSTER CITY
RATIBA LIGI KUU YA UINGEREZA LEO,MECHI KUBWA ARSENAL VS MANCHERSTER CITY ...