TAARIFA KWA UMMA JUU YA SUALA LA JUMA NYOSO By Mbfc_admin | October 2, 2015 Leave a comment Bodi ya klabu ya Mbeya City ilikutana tar...
COASTA AACHWA TIMU YA TAIFA
Kocha wa Uhispania Vicente de Bosque amemuacha nje mshambuliaji wa timu hiyo Diego Costa kwa mechi mbili za kufuzu kwa michuano ya mabing...
MSIMAMO & RATIBA LIGI KUU YA VODACOM
LIGI KUU VODACOM RATIBA Jumamosi Oktoba 3 Mgambo Shooting v Coastal Union Majimaji FC v Mwadui FC Toto Africans v JKT Ruvu Jumapili Ok...
RATIBA LIGI DARAJA LA KWANZA LIPULI VS POLISI MORO NI VITA WIKENDI HII
Ligi Daraja la Kwanza nchini (StarTimes First League) inaendelea wikiendi hii kwa makundi yote matatu kucheza, michezo 11 itachezwa mwi...
KILIMANJARO STARS KUCHEZA CHALENJI ETHIOPIA
Timu ya soka ya Tanzania Bara ‘Kilimanjaro Stars’ imedhibitisha kushiriki michuano ya Chalenji itakayofanyika nchini Ethiopia kuanzia...
STARS YAANZA MAZOEZI TAYARI KUIKABIRI MALAWI
Kikosi cha timu ya Taifa ya Tanzania (Taifa Stars) inayodhaminiwa na bia ya Kilimanjaro Premium Lager kimeanza mazoezi leo mchana katik...
MALINZI ATUMA PONGEZI KWA TOMBI NA SIMAGO
Rais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Jamal Malinzi ametuma salam za pongezi kwa Alberto Simago Junior wa Shirikisho la Soka la Ms...
BARCA KUISHITAKI OTELUL KWA KUKOPI NEMBO YAO
klabu ya soka ya Barcelona wamewatumia taarifa klabu ya soka ya Otelul Galati ya nchini Romania kuwa watawashitaki kwa kitendo chao cha k...
SERENA KULA BATA MWAKA MZIMA
Mcheza tenesi namba moja kwa ubora duniani kwa upande wa wanawake Serena Williams atapumzika kucheza mchezo huo kwa mwaka mzima kutoka na...
KERR AMEFUNGWA MIAKA 2 NCHINI UINGEREZA
Mchezaji mmoja nchini Uingereza amefungwa jela mwaka mmoja kwa kosa la kumvunja mguu mchezaji wa klabu pinzani kwa kumkanyaga mara kadha ...
MATOKEO EUROPE LIGI
EUROPA LIGI MATOKEO Alhamisi Oktoba 1 KUNDI A Celtic 2 Fenerbahçe 2 Molde 1 Ajax 1 KUNDI B Liverpool 1 FC Sion 1 Rubin Kazan 0 Borde...