ARSENAL YANYAKUA NGAO YA JAMII,CHELSEA HOI
KOCHA wa Arsenal amefuta uteja Baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0 na kunyakua ngao ya Jamii. Bao pekee la Arsenal limewekwa kimiani na...
HII NI BLOGU INAYOKULETEA HABARI ZA MICHEZO, BURUDANI NA KIJAMII DUNIANI KOTE. EMAIL.jelamaviwanjani@gmail.com
KOCHA wa Arsenal amefuta uteja Baada ya kuifunga Chelsea bao 1-0 na kunyakua ngao ya Jamii. Bao pekee la Arsenal limewekwa kimiani na...
IMEKUWA KWELI,Azam FC iumeifunga Gor Mahia kwa mabao 2-0 na kubeba ubingwa wa Kagame wakiwa hawajafungwa hata bao moja. Mwaka...
LEO ndio rasmi Msimu mpya wa Soka huko England unafunguliwa kwa Mechi maalum ya kugombea Ngao ya Jamii kati ya Mabingwa wa England Chels...
Michuano ya Vilabu Bingwa kwa Ukanda wa Afrika Mashariki na Kati (Kagame Cup) inatarajiwa kufika tamati kesho jumapili katika uwa...