STARS 4-1,KIEMBA AFANYA KWELI.

TIMU ya taifa ya Tanzania Taifa Stars imeitandika Benin  mabao 4-1 katika mechi ya kirafiki ya kimataifa iliyochezwa leo kwenye Uwan...