VAN GAAL AMTAMBUA FERGUSON :

Meneja wa Manchester United amesema kuaminiwa na bosi wa zamani wa timu hiyo Sir Alex Ferguson kumeifanya kazi yake kuwa nyepesi. ...