Rais Jakaya Kikwete anatarajiwa kuzindua kituo kipya na cha kisasa cha michezo baadaye mwezi huu kitakachoitwa Jakaya M. Kikwete Youth ...
MBEYA CITY VS TOTO HAKUNA MBABE, RATIBA MECHI ZIJAZO
Mbeya City imepata sare ya bao 1-1 dhidi ya wenyeji wake Toto African katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa CCM Kirumba jijini Mwanz...
MAJI MAJI,AFRICAN SPORTS,TOTO..KUNUFAIKA NA NHIF
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Mwesigwa Selestine leo amesaini mkataba wa mwaka mmoja na mfuko wa huduma ya afya (NH...
NYANI WAZIMA KITUO CHA RADIO ZIMBABWE
Nyani wasumbufu katika kijiji cha Zvishane mjini Zimbabwe wamedaiwa kukizama kituo kimoja cha cha redio. Mkuu wa kituo cha cha YA FM ,Mun...
TANZANIA YABAKI 140 NAFASI YA UBORA DUNIANI
SIKIA HII Listi ya FIFA ya Ubora Duniani iliyotolewa Leo, Argentina wamebakia Namba 1 huku Mabingwa wa Dunia Germany wakipanda na kukamat...
RECODI YA HATARI YA RONALDO AFIKISHA BAO 501
Cristiano Ronaldo hapo Jana wakati Real Madrid inaichapa Malmo 2-0 kwenye Mechi ya Kundi A Uefa, amefikisha Jumla ya Magoli 501 katika ...
MATOKEO UEFA LIGI MAN U YASHINDA
UEFA CHAMPIONZ LIGI MATOKEO: Jumatano 30 Septemba 2015 KUNDI A Malmö FF 0 Real Madrid 2 Shakhtar Donetsk 0 Paris St Germaine 3 KUNDI B...