STARS YAPIGWA BAO 1-0 NA MALAWI

Taifa Stars imepoteza mechi yake dhidi ya Malawi kwa kufungwa bao 1-0 mjini Blantyre, lakini imesonga mbele katika mechi hizo za awali ...