Mechi za leo 2015-07-22 FT KHARTOUM 2 : 1 KMKM 89 KCCA 1 : 0 ADAM CITY FT TELECOM 0 : 3 YANGA
MASHABIKI WA LEEDS UNITED WACHEZEA MKONG'OTO TOKA KWA EINTRACHT FRANKFURT
MASHABIKI wa Leeds United wamepewa mkong'oto na mashabiki wa Eintracht Frankfurt usiku wa jana baada ya mchezo wa kirafiki ba...
KMKM YABAMIZWA BAO 2-1 NA KHARTOUM-3 YA SUDAN KAGAME CUP
KHARTOUM N ya Sudan imeionyesha njia ya kurejea Zanzibar KMKM, baada ya kuifunga mabao 2-1 katika mchezo wa Kundi A, Klabu Bingwa Afrika ...
UTATA: OKWI KUREJEA SIMBA
NA MTANDAO WA IPP MEDIA Mshambuliaji Emmanuel Okwi ambaye uhamisho wake daima umekuwa ukizungukwa na maswali kila aendako, am...
MANCHESTER UNITED YASHINDA MAREKANI
Manchester United imeshinda 3-1 katika mechi yake ya pili ya maandalizi ya msimu mpya dhidi ya San Jose Earthquakes. Magoli ya Un...
RATIBA,MSIMAMO,MATOKEO KAGAME CUP
RATIBA YA LEO Julai 22, 2015 Khartoum Vs KMKM [Saa 10 Jioni] KCCA Vs Adama City [Saa 8 Mchana] Telecom Vs Yang...
MESSI AZINDUA UWANJA GABON
Mshindi wa tuzo la mchezaji bora duniani mara nne ,Lionel Messi, amekutana na rais wa Gabon Ali Bongo Ondimba. Mchezaji wa Argentin...
KAGAME CUP KMKM YAPIGWA 3-1,TELECOM YABAMIZWA 5-0
RATIBA Viwanja: Uwanja wa Taifa na Karume Jumamosi Julai 18 KMKM 1 Telecom 0 APR 1 Shandy 0 Jul...
UCHAGUZI MPYA FIFA SASA NI FEBRUARI 2016
Shirikisho la soka duniani Fifa litaandaa kongamano la dharura kuchagua rais mpya tarehe 26 mwezi februari mwakani. Hii ni licha ya...
BAADA YA YANGA KUUMIA,AZAM YAFANYA KWELI TAIFA KAGAME
Azam FC imeanza michuano ya Kagame kwa kuichapa timu ngumu ya KCC kwa bao 1-0. Shujaa wa Azam FC leo ni nahodha wake, John Boc...