TOKA MWAKA 1965 ZIMEKUTANA MARA 92
AMBAPO JUMLA YA MABAO 188 YAMEFUNGWA
YANGA IMEFUNGA MABAO 98
SIMBA 90
REKODI
YA SIMBA NA YANGA:
JUNI
1, 1968
Yanga
v Sunderland
5-0
WAFUNGAJI:
Maulid
Dilunga dk. 18 (penalti), Dilunga dk. 43, Salehe Zimbwe dk. 54, Zimbwe dk. 89,
Kitwana Manara dk. 86.
MACHI
3, 1969
Yanga
v Sunderland
(Yanga
ilipewa pointi za chee na ushindi wa mabao 2-0, baada ya Sunderland kugoma
kuingia uwanjani).
JUNI
4, 1972
Yanga
v Sunderland
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Kitwana Manara dk. 19,
Sunderland:
Willy Mwaijibe dk. 11.
JUNI
18, 1972
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Leonard Chitete.
JUNI
23, 1973
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Haidari Abeid 'Muchacho' dk. 68.
AGOSTI
10, 1974
Yanga
v Simba
2-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Gibson Sembuli dk. 87, Sunday Manara dk. 97.
Simba:
Adam Sabu dk. 16.
(Mechi
ya kihistoria iliyochezwa Uwanja wa Nyamagana mjini Mwanza).
JULAI
19, 1977
Simba
v Yanga
6-0
WAFUNGAJI:
Abdallah
Kibadeni dk. 10, 42 na 89, Jumanne Hassan 'Masimenti' dk. 60 na 73, Selemani
Sanga alijifunga dk. 20.
OKTOBA
7, 1979
Simba
v Yanga
3-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Nico Njohole dk. 3, Mohammed Bakari 'Tall' dk. 38, Abbas Dilunga dk.72. Yanga:
Rashidi Hanzuruni dk. 4.
OKTOBA
4, 1980
Simba
v Yanga
3-0
WAFUNGAJI:
Abdallah Mwinyimkuu dk. 29, Thuwein Ally dk. 82, Nico Njohole dk. 83.
SEPTEMBA
5, 1981
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Juma Hassan Mkambi dk. 42
APRILI
29, 1982
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Rashid Hanzuruni dk 2.
SEPTEMBA
18, 1982
Yanga
3-0 Simba
WAFUNGAJI:
Omar
Hussein dk. 2 na 85, Makumbi Juma dk. 62.
FEBRUARI
10, 1983
Yanga
v Simba.
0-0
APRILI
16, 1983
Yanga
v Simba
3-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Charles Mkwasa dk. 21, Makumbi Juma dk. 38, Omar Hussein dk. 84, Simba; Kihwelu
Mussa dk. 14.
SEPTEMBA
10, 1983,
Yanga
v Simba
2-0
WAFUNGAJI:
Lila Shomari alijifunga dk. 72, Ahmed Amasha dk. 89.
SEPTEMBA
25, 1983
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Makumbi Juma dk. 75,
Simba:
Sunday Juma dk. 72.
MACHI
10, 1984
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Omar Hussein dk. 72.
Simba:
Idd Pazi kwa penalti dk 20.
JULAI
14, 1984
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Abeid Mziba dk. 39.
Simba:
Zamoyoni Mogella dk. 17
MEI
19, 1985
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Omar Hussein dk. 6
Simba:
Mohammed Bob Chopa dk. 30.
AGOSTI
10, 1985
Yanga
v Simba
2-0
MACHI
15, 1986
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Abeid Mziba dk. 44
Simba:
John Hassan Douglas dk. 20.
AGOSTI
23, 1986
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Edward Chumila dk. 9, Malota Soma dk. 51
Yanga:
Omar Hussein dk. 5.
JUNI
27, 1987
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Edgar 'Fongo' Mwafongo dk. 36.
AGOSTI
15, 1987
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Abeid Mziba dk. 14.
APRILI
30, 1988
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Justin Mtekere dk. 28
Simba:
Edward Chumila dk. 25.
JULAI
23, 1988
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Edward Chumila 21, John Makelele dk. 58
Yanga:
Issa Athumani dk. 36.
JANUARI
28, 1989
Yanga
v Simba
2-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Issa Athumani dk. 4, Abeid Mziba dk. 85
Simba:
Malota Soma dk. 30.
MEI
21, 1989
Yanga
v Simba
0-0
MEI
26, 1990
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Mavumbi Omari dk 6.
OKTOBA
20, 1990
Yanga
v Simba
3-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Makumbi Juma dk 33, Thomas Kipese dk. 82, Sanifu Lazaro dk. 89
Simba:
Edward Chumila dk. 58.
MEI
18, 1991
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Said Sued 'Scud' dk. 7.
AGOSTI
31, 1991
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Said Sued Scud.
OKTOBA
9, 1991
Yanga
v Simba
2-0
WAFUNGAJI:
Athumani China dk. 3, Abubakar Salum 'Sure Boy' dk. 54.
NOVEMBA
13, 1991
Yanga
v Simba
2-0
APRILI
12, 1992
Yanga
1-0 Simba
MFUNGAJI:
Kenneth Mkapa dk. 10.
SEPTEMBA
26, 1992
Simba
v Yanga
2-0
OKTOBA
27, 1992
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Damian Morisho Kimti.
MACHI
27, 1993
Yanga
v Simba
2-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Said Mwamba Kizota dk. 47 na 57
Simba:
Edward Chumila dk. 75.
JULAI
17, 1993
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Dua Said dk. 69.
SEPTEMBA
26, 1993
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Dua Said dk. 13.
NOVEMBA
6, 1993
Simba
v Yanga
0-0
FEBRUARI
26, 1994
Yanga
v Simba
2-0
MFUNGAJI:
Mohammed Hussein 'Mmachinga' na James Tungaraza 'Boli Zozo'.
JULAI
2, 1994
Simba
v Yanga
4-1
WAFUNGAJI:
Simba:
George Masatu, Athumani China, Madaraka Selemani, Dua Saidi Yanga; Constantine
Kimanda.
NOVEMBA
2, 1994
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Madaraka Selemani dk. 71
NOVEMBA
21, 1994
Simba
v Yanga
2-0
WAFUNGAJI:
George Lucas dk. 18, Madaraka Selemani dk. 42.
MACHI
18, 1995
Simba
v Yanga
0-0
OKTOBA
4, 1995
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Said Mwamba 'Kizota' dk. 70, Mchunga Bakari dk. 79,
Yanga:
Mohamed Hussein ÔMmachingaŐ dk. 40.
FEBRUARI
25, 1996
Yanga
v Simba
2-0
SEPTEMBA
21, 1996
Yanga
v Simba
0-0
OKTOBA
23, 1996
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Mohamed Hussein 'Mmachinga' dk. 46
NOVEMBA
9, 1996
Yanga
v Simba
4-4
WAFUNGAJI:
Yanga:
Edibilly Lunyamila (penalti) dk. 28, Mustafa Hozza alijifunga dk 64, Said
Mwamba 'Kizota' dk. 70, Sanifu Lazaro dk. 75.
Simba:
Thomas Kipese dk. 7, Ahmed Mwinyimkuu dk. 43, Dua Saidi dk. 60 na 90.
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha)
APRILI
26, 1997
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Idelfonce Amlima dk. 16
Simba:
Abdallah Msamba sekunde ya. 56
AGOSTI
31, 1997
Yanga
v Simba
0-0
OKTOBA
11, 1997
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Sekilojo Chambua dk. 52
Simba:
George Masatu dk. 89
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Sokoine mjini Mbeya)
NOVEMBA
8, 1997
Yanga
v Simba
1-0
MFUNGAJI:
Sekilojo Chambua dk. 85
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri mjini Dodoma)
FEBRUARI
21, 1998
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Akida Makunda dk. 46
Simba:
Athumani Machepe dk. 88
JUNI
7, 1998
Yanga
v Simba
1-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Idelfonce Amlima dk. 28
Simba:
Abuu Juma (penalti) dk. 32
MEI
1, 1999
Yanga
v Simba
3-1
WAFUNGAJI:
Yanga:
Idd Moshi dk. 59, Kalimangonga Ongala dk. 64, Salvatory Edward dk. 70, Simba:
Juma Amir dk. 12.
AGOSTI
29, 1999
Yanga
v Simba
2-0
WAFUNGAJI:
Bakari Malima dk. 49, Mohamed Hussein 'Mmachinga' dk 71
JUNI
25, 2000
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Steven Mapunda dk. 59 na 72
Yanga:
Idd Moshi dk. 4.
AGOSTI
5, 2000
Yanga
v Simba
2-0
MFUNGAJI:
Iddi Moshi 37 na 47. (Alifunga mabao hayo, akitoka kwenye fungate ya ndoa yake)
SEPTEMBA
1, 2001
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Joseph Kaniki dk. 76
SEPTEMBA
30, 2001
Simba
v Yanga
1-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Joseph Kaniki dk. 65,
Yanga:
Sekilojo Chambua dk. 86
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa CCM Kirumba mjini Mwanza)
AGOSTI
18, 2002
Simba
v Yanga
1-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Madaraka Selemani 65
Yanga:
Sekilojo Chambua (penalti). dk. 89
NOVEMBA
10, 2002
Simba
v Yanga
0-0
SEPTEMBA
28, 2003
Simba
v Yanga
2-2
WAFUNGAJI:
Simba:
Emmanuel Gabriel dk. 27 na 36
Yanga:
Kudra Omary dk. 42, Heri Morris dk. 55
NOVEMBA
2, 2003
Simba
v Yanga
0-0
AGOSTI
7, 2004
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Shaaban Kisiga dk. 64, Ulimboka Mwakingwe dk. 76
Yanga:
Pitchou Kongo dk. 48
SEPTEMBA
18, 2004
Simba
v Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Athumani Machuppa dk. 82
APRILI
17, 2005
Simba
v Yanga
2-1
WAFUNGAJI:
Simba:
Nurdin Msiga dk. 44, Athumani Machupa dk. 64,
Yanga:
Aaron Nyanda dk. 39
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro)
AGOSTI
21, 2005
Simba
v Yanga
2-0
MFUNGAJI:
Nico Nyagawa dk. 22 na 56
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Sheikh Amri Abeid mjini Arusha)
MACHI
26, 2006
Simba
v Yanga.
0-0
OKTOBA
29, 2006
Simba
v Yanga
0-0
JULAI
8, 2007
Simba
v Yanga
1-1
(dakika 120)
WAFUNGAJI:
Simba:
Moses Odhiambo (penalti dk. 2)
Yanga:
Said Maulid (dk. 55).
(Simba
ilishinda kwa mikwaju ya penalti 5-4 baada ya sare hiyo).
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro)
OKTOBA
24, 2007:
Simba
Vs Yanga
1-0
Mfungaji:
Ulimboka Mwakingwe
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja wa Jamhuri, Morogoro)
APRILI
27, 2008:
Simba
Vs Yanga
0-0
OKT
26, 2008
Yanga
Vs Simba
1-0
MFUNGAJI:
Ben Mwalala dk15.
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)
APRILI
19, 2009
Simba
Vs Yanga
2-2
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Ramadhan Chombo dk 23, Haruna Moshi dk 62
YANGA:
Ben Mwalala dk48, Jerry Tegete dk90
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)
(Matokeo
haya yanahusu mechi za Ligi ya Bara na iliyokuwa Ligi ya Muungano pekee)
OKTOBA
31, 2009
Simba
Vs Yanga
1-0
MFUNGAJI:
Mussa Hassan Mgosi dk 26
(Mechi
hii ilichezwa Uwanja mpya wa Taifa, Dar es Salaam)
APRILI
18, 2010
Simba
Vs Yanga
4-3
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Uhuru Suleiman dk 3, Mussa Mgosi dk 53 na 74, Hillary Echesa dk 90+
YANGA:
Athumani Iddi dk 30, Jerry Tegete dk 69 na 89
OKTOBA
16, 2010:
Yanga
Vs Simba
1-0
MFUNGAJI:
Jerry Tegete dk 70
MACHI
5, 2011
Simba
Vs Yanga
1-1
WAFUNGAJI:
YANGA:
Stefano Mwasyika (penalti) dk 59.
SIMBA:
Mussa Mgosi dk 73.
(Refa
Orden Mbaga alizua tafrani uwanjani, kwanza kwa kulikataa bao la kusawazisha la
Simba, kisha akalikubali baada ya kujadiliana na msaidia wake namba moja).
OKTOBA
29, 2011
Yanga
1-0 Simba
MFUNGAJI:
Davies Mwape dakika ya 75
MEI
6, 2012
Simba
5-0 Yanga SC
WAFUNGAJI:
Emmanuel
Okwi (dk 2 na 62), Felix Sunzu (penalti 56), Juma Kaseja (penalti dk 67) na
Patrick Mafisango (penalti dk 72)
MECHI
ZA WATANI WA JADI NJE YA LIGI KUU
KLABU
BINGWA AFRIKA MASHARIKI NA KATI:
JULAI
10, 2011
Yanga
1-0 Simbam, Fainali
MFUNGAJI
: Kenneth Asamoah dk 108
JANUARI
1975
Yanga
Vs Simba; Fainali, 2-0
WAFUNGAJI:
Gibson Sembuli na Sunday Manara
JANUARI
1992
Simba
Vs Yanga; Fainali
1-1,
Simba ilishinda kwa penalti 5-4
JULAI
27, 2008
Simba
Vs Yanga; Mshindi wa Tatu
(Yanga
haikutokea uwanjani, Simba ikapewa ushindi wa chee)
KOMBE
LA HEDEX:
JUNI
30, 1996
Yanga
Vs Simba 2-0
CCM
Kirumba, Mwanza
WAFUNGAJI:
Bakari Malima na Edibily Lunyamila
KOMBE
LA HEDEX:
JULAI
13, 1996
Simba
Vs Yanga 1-1, Taifa, Dsm
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Hussein Amaan Marsha kwa penalti
YANGA:
Bakari Juma Malima
KOMBE
LA TUSKER:
FEBRUARI
10, 2001
Yanga
Vs Simba (fainali) 0-0
(Simba
ilishinda kwa penalti 5-4, Uwanja wa Taifa)
MACHI
31, 2002.
Simba
Vs Yanga 4-1
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Mark Sirengo dk. 3 na 76, Madaraka Selemani dk. 32 na Emanuel Gabriel dk. 83.
YANGA:
Sekilojo Chambua dk 16.
(Mechi
hii ya fainali iliyohudhuriwa na rais mstaafu, Ali Hassan Mwinyi, chupuchupu
ivunjike dakika ya 32, baada ya Madaraka kufunga bao ambalo kabla ya kufumua
shuti lililomshinda kipa Manyika Peter, aliushika mpira kwa makusudi, ili
kuuweka sawa. Rais wa Yanga wakati huo, Tarimba Abbas aliinuka na kuwaonyesha
ishara wachezaji wake watoke uwanjani na hapo ndipo meza kuu aliyokuwa ameketi
mzee Mwinyi, ilipoanza kushambuliwa kwa chupa za maji na mashabiki wa Yanga.
Mwamuzi wa mchezo huo, Abdulkadir Omar alisubiri hadi vurugu zilipotulizwa na
FFU ndipo akaendeleza mchezo. Tarimba alitoka nje na hakutaka kuendelea
kushuhudia mchezo huo. Baada ya hapo, alifungiwa na Chama cha Soka Tanzania,
FAT).
JULAI
2, 2005
CCM
Kirumba, Mwanza. Fainali
Simba
Vs Yanga, 2-0
WAFUNGAJI:
Emmanuel Gabriel dk. 60, Mussa Hassan Mgosi dk. 72
AGOSTI
15, 2006
Simba
Vs Yanga; Nusu Fainali, 1-1
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Emanuel Gabriel dk. 69
YANGA:
Credo Mwaipopo 90
(Simba
ilishinda kwa mikwaju ya penalti 7-6)
DESEMBA
25, 2009
Yanga
Vs Simba; Nusu Fainali, 2-1
WAFUNGAJI:
YANGA:
Jerry Tegete dk 67, Shamte Ally dk 120
SIMBA:
Hillary Echesa dk 78 (penalti)
(Uwanja
wa mpya wa Taifa)
KOMBE
LA MAPINDUZI:
JANUARI
12, 2011
Simba
Vs Yanga; Fainali 2-0
WAFUNGAJI:
Mussa Mgosi dk 33, Shijja Mkinna dk 71
(Uwanja
wa Amaan, Zanzibar)
KOMBE
LA AICC:
JUNI
1989
Yanga
Vs Simba SC 1-0
MFUNGAJI:
Joseph Machella
APRILI
20, 2003,
CCM
Kirumba, Mwanza
Yanga
Vs Simba 3-0
WAFUNGAJI:
Kudra
Omary dk. 30, Heri Morris dk 32 na Salum Athumani dk. 47
JANUARI
19, 2003, Kombe la CCM
Simba
Vs Yanga 1-1, Dsm
WAFUNGAJI:
SIMBA:
Jumanne Tondolo dk. 10
YANGA:
Mwinyi Rajabu dk. 20
NGAO
YA JAMII:
FEBRUARI
17, 2001
Yangs
Vs Simba 2-1, Dsm
WAFUNGAJI:
YANGA:
Edibilly Lunyamila dk. 47, AllyYussuf 'Tigana' dk 80.
SIMBA:
Steven Mapunda 'Garrincha' dk.43
AGOSTI
18, 2010
Yanga
vs Simba 0-0
(Yanga
ilishinda kwa penalti 3-1)
WAFUNGAJI:
Geoffrey Bonny, Stefano Mwasyika na Isaac Boakye kwa upande wa Yanga na Mohamed
Banka kwa Simba.
WALIOKOSA:
Ernest Boakye kwa Yanga na Emanuel Okwi, Uhuru Suleiman na Juma Nyosso kwa
Simba.
AGOSTI
17, 2011
Simba
vs Yanga 2-0, Dar
WAFUNGAJI:
Haruna
Moshi ‘Boban’ dk 15 na Felix Sunzu dk 38.
NOVEMBA
15, 2000
KOMBE
LA FAT
Yanga
Vs Simba 2-1
Sheikh
Amri Abeid, Arusha.
WAFUNGAJI:
YANGA:
Aziz Hunter 40 na Vincent Tendwa
SIMBA:
Ally Yussuf 'Tigana' dk.37
NOVEMBA
12, 2000
MARUDIANO
KOMBE LA FAT
Simba
Vs Yanga 1-0, Dsm
MFUNGAJI:
SIMBA:
Ben Luoga dk.44
(Matokeo
ya jumla yakawa 2-2 na Yanga ikatolewa kwa mikwaju ya penalti 5-4).
Chapisha Maoni