Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Shangilia
WATANI wa jadi wa soka la Tanzania leo wameshindwa kutambiana katika uwanja wa taifa baada ya kutoka sare ya bao 1-1.
 
BAO la yanga lilifungwa na Simon Msuva dakika ya 86 huku Simba SC ikitangulia kupata bao kupitia kwa Haroun Chanongo dakika ya 68  ya mchezo , wakati Uwanja wa Azam Complex, Chamazi bao la Brian Umony limeipa Azam ushindi wa 1-0 dhidi ya JKT Ruvu.
 



Chapisha Maoni