Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


KOCHA wa barcelona ametangaza kumwaga manyanga baada ya kumaliza msimu bila taji lolote baada ya atletico kutangazwa mabingwa hapo jana nchini hispania. 
 edecessor Pep Guardiola in 2008. 
Bowing out: Gerardo Martino will exit Barcelona after just one season in charge

Kocha huyo Muargentina amefikia makubaliano ya kuacha kazi baada ya Barcelona kulazimishwa sare ya kufungana bao 1-1 na mabingwa wapya, Atletico Madrid usiku huu. 
Martino aliteuliwa kuifundisha Barca msimu huu ili kuendeleza wimbi la mafanikio Barcelona lililoanzishwa na Pep Guardiola mwaka 2008. 


Joy and pain: Atletico Madrid's defender Diego Godin celebrates his equaliser as Lionel Messi looks on
Joy and pain: Atletico Madrid's defender Diego Godin celebrates his equaliser as Lionel Messi looks on

Joy: Atletico's Diego Godin (left) celebrates his goal against Barcelona
Joy: Atletico's Diego Godin (left) celebrates his goal against Barcelona

Lakini Barcelona imemaliza msimu bila taji lolote kwa mara ya kwanza tangu msimu wa 2007-08. 
Mchezaji wa zamani wa Barcelona, Luis Enrique anatarajiwa kuchukua nafasi ya Martino, ambaye anaondoka akiwa amebakiza mwaka mmoja katika mkataba wake. 
Enrique anaachia ngazi ukocha wa Celta Vigo baada ya kukutana na Barcelona wiki iliyopita.


Chapisha Maoni