Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


WAWAKIRISHI WA TANZANIA,MBEYA City imetinga Robo Fainali za michuano ya Nile Basin inayoendelea nchini Sudan kufuatia sare ya bila kufungana na Enticelles ya Rwanda usiku huko sudani.

 
Matokeo hayo yanaifanya Mbeya City kufikisha pointi nne baada ya mechi tatu, ikiwa katika nafasi ya pili nyuma ya AFC Leopards ya Kenya walioongoza kundi kwa pointi zao tisa.



Chapisha Maoni