Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




SHABIKI WA KUTUPWA WA CHELSEA MUSSA SUFIANI.

Na Alex Mapunda mwandishi wa jelamba viwanjani pamoja na gazeti la championi michezo na burudani

SHABIKI wa klabu ya Chelsea ambaye aligoma kutoa simu kwa shabiki wa
mancherster Unted, baada ya Chelsea kufungwa  bao 3-1 na Atletico de
Madrid katika hatua ya Uefa, amevunja ukimwa na kusema kuwa ulikuwa ni
ushabiki.

Akizungumza na JELAMBA VIWANJA Shabiki hiyo anaefahamika
kwa jina la Mussa sufiani mkazi wa semtema maeneo ya chuo kikuu cha
Iringa alisema ni kweli alikubariana na shabiki wa manchester united
lakini makubariano yao yalikuwa ya kishabiki kwa kuwa yeye aliweka
simu mwezake hakuweka kitu chochote.

"ilikuwa ni ushabiki kwa kuwa timu yangu nilikuwa nikiiamini asilimia
100 itachukua ubingwa kwa kuwa kocha wetu anauwezo mkubwa,kiukweli
nilitokwa na machozi baada ya kutolewa na kwa sasa nachekwa sana na
mashabiki wa timu zingine wa Alsenal,chelsea,Mancherster united na
Beryan.


Shabiki huyo aliongeza kuwa licha ya timu yake kutolewa mapema
anaimani msimu ujao watachukua mataji yote uingereza pamoja ligi ya mabingwa ulaya.


Chapisha Maoni