Japan na Ugiriki wamepata pointi zao za kwanza katika kombe la dunia Brazil mwaka 2014.
Matokeo haya yanaacha vikosi hivyo viwili vikiwa mwisho katika kundi C, vikiwa na alama moja.Timu hizo mbili zilitoka sare bila kufangana bao lolote, huku Ugiriki ikimaliza mechi hiyo na wachezaji kumi baada ya nahodha wao kutolewa kwa kadi nyekundu.
Kundi lao linaongozwa na Colombia na alama 6 nayo Ivory Coast ni ya pili kwa alama 3.
kikosi cha Japan:
Kawashima 6.5, Uchida 6, Konno 6, Yoshida 6, Nagatomo 6, Yamaguchi 6,
Hasebe 5 (Endo 46min, 6.5) Okazaki 6.5, Honda 5.5, Okubo 5, Osako 6
(Kagawa 57, 6)
Subs: Nishikawa, Gotoku Sakai, Morishige, Kiyotake, Kagawa, Kakitani, Aoyama, Inoha, Saito, Hiroki Sakai, Gonda
Booked: Hasebe
kikosi cha ugiriki: Karnezis 7, Torosidis 6.5, Papastathopoulos 6, Manolas 6, Holebas 6, Maniatis 6, Katsouranis 4, Kone 6.5 (Salpingidis 81), Fetfatzidis 5.5 (Karagounis 41, 6), Mitroglou 5 (Gekas 35, 5), Samaras 5.5
Subs: Glykos, Tzavelas, Moras, Tziolis, , Vyntra, Salpingidis, Christodoulopoulos, Samaris, Tachtsidis, Kapino
Booked: Katsouranis, Samaras, Torosidis
Sent off: Katsouranis

Referee: Joel Aguilar (Slovakia)
Chapisha Maoni