Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Aliyekuwa mwigizaji maarufu wa filamu hapa nchini mzee small [said ngamba] amefariki dunia usiku wa kuamkia leo katika hospitali ya mhimbili alikokuwa amelazwa kwa matibabu kwa tatizo la presha na alifikwa na umauti majira ya saa 4 za usiku wa Juni 7, 2014 katika Hospitali ya Taifa Muhumbili.


Akiongea kwa njia ya simu mke wa marehemu,
amesema kuwa marehemu mumewe amefikwa na umauti baada ya hali yake kubadilika jana (Juni 7) asubuhi na kumbikiza Muhimbili ambako alishinda nae akipatiwa matibabu na majira ya saa tatu usiku alirudi nyumbani na kumwacha kijana wake akimwangalia mgonjwa na ilipotimu saa tano usiku kijano huyo alirudi na kusema baba amefariki.

Mipango ya Mazishi inafanyika nyumbani kwa marehemu Tabata Mawenzi, Dar es Salaam.





Chapisha Maoni