Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Late drama: Portugal substitute Varela executes a diving header to salvage a 2-2 draw for his country in the 95th minute

Nothing but net: Varela's header is too hot for USA goalkeeper Tim Howard who cannot react in time to stop it

Ureno ambayo ilikuwa imepata pigo kubwa iliposhiindwa katika mechi yake ya ufunguzi na Ujerumani na ilikuja katika mechi hii ikitafuta ushindi wa aina yeyote ilikuepuka fedheha ya kufungashwa virago katika hatua ya makundi katika kombe la dunia linaloendelea huko Brazil ilicheza kwa kufa na kupona ili kupata matokeo mazuri.
Kwa upande wao Marekani, ilikuwa inafahamu fika kuwa matokeo baina ya 2-2  ya Black Stars ya Ghana na vinara wa kundi G Ujerumani ilikuwa na hatari ya kuinyima fursa ya kushiriki mkondo wa pili wa kombe la dunia kwa hivyo ilikuwa inatafuta ushindi ili kupata tiketi ya moja kwa moja katika hatua ijayo.
kikosi cha  USA (4-2-3-1): Howard 7; Johnson 8, Cameron 6, Besler 7, Beasley 6.5; Beckerman 6.5, Jones 7; Bedoya 6.5 (Yedlin 72mins 6), Bradley 7.5, Zusi 6 Gonzales 90mins 6) ; Dempsey 6

Subs not used: Guzan, Brooks, Johannsson, Diskerud, Davis, Green, Chandler, Rimando.
Goals: Jones 65, Dempsey 81
Booked: Jones
kikosi cha PORTUGAL (4-3-3): Beto 7; Pereira 6.5, Costa 6, Alves 6, Almeida 5 (Carvalho 45mins 5); Moutinho 6, Veloso 5.5, Meireles 5.5 (Varela 68mins 6); Ronaldo 6, Postiga 5 (Eder 15mins 5), Nani 6

Subs not used: Eduardo, Vieirinha, Luis Neto, Rafa, Ruben Amorim, Rui Patricio.
Goals: Nani 5, Varela 90+5
Man of the Match: Johnson
Referee: Nestor Pittana (Argentina


Chapisha Maoni