Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Timu ya Uingereza imeshuka ngazi ya orodha ya Fifa hadi nambari 20,nafasi ya chini zaidi tangu miaka ya 90.
Kushuka huko kwa karibu nafasi 10 chini.

Hii ni baada ya matokeo mabovu katika kombe la dunia Brazil 2014.
Sasa wako nyuma ya timu kama Bosnia-, Costa Rica hata Marekani.
Uhispania imeshuka kutoka namba moja hadi nane.
vinara ni ujerumani na nafasi nyingi kwenye kumi bora zimenyakuliwa na timu za mataifa ya Marekani kusini. Argentina, Brazil, Colombia, Uruguay , Costa rica na kadhalika.
TIMU ZA JUU 30:
1        Germany      [Imepanda Nafasi 1]
2        Argentina    [Imepanda 3]
3        Netherlands [Imepanda 12]
4        Colombia     [Imepanda 4]
5        Belgium       [Imepanda 6]
6        Uruguay [Imeshuka 4]
7        Brazil [Imeshuka 4]
8        Spain [Imeshuka 7]
9        Switzerland  [Imeshuka 3]
10      France [Imepanda 7]
11      Portugal
12      Chile
13      Greece
14      Italy
15      USA
16      Costa Rica
17      Croatia
18      Mexico
19      Bosnia and Herzegovina
20      England
21      Ecuador
22      Ukraine
23      Russia
24      Algeria
25      Côte d'Ivoire
26      Denmark
27      Scotland
28      Romania
29      Sweden
30      Venezuela  
TANZANIA NA JIRANI ZAKE:
101    New Zealand
102    Moldova
103    Latvia
104    Lithuania
105    Bahrain
106    Tanzania    [Imepanda Nafasi 7]
107    Kuwait
108    Luxembourg
109    Rwanda
110    Ethiopia
111    Equatorial Guinea
112    Namibia
113    Haiti
114    Mozambique
115     Sudan


Chapisha Maoni