Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Helpless: France keeper Lloris can only watch as the ball nestles into the bottom corner of his net early on
Helpless: France keeper Lloris can only watch as the ball nestles into the bottom corner of his net early on

Man of the moment: Hummels runs off to celebrate putting Germany ahead as Lloris is left in a heap

Tight unit: Germany's players wander back for kick-off after congratulating Hummels on his impressive header
TIMU ya soka ya ujermani imekuwa timu ya kwanza kufunzu hatua ya nusu fainali ya michuano ya kombe la dunia baada ya kuibabua Ufaransa bao 1-0 katika mchezo wa kwanza wa robo fainali uliofanyika leo huko Brazil.
 
katika mchezo huo ambao haukuwa na mvuto kama ulivyotarajiwa na mashabiki wengi duniani, bao la ujermani limewekwa kimiani na mlizi Hummels kwa ustadi mkubwa.

kikosi cha France: Lloris 6, Debuchy 6, Varane 5, Sakho 5.5 (Koscielny 72, 6), Evra 6, Valbuena 6 (Giroud 85), Pogba 6.5, Cabaye 6 (Remy 73), Matuidi 5.5, Griezmann 5.5, Benzema 6.

Subs not used: Ruffier, Landreau, Cabella, Mavuba, Mangala, Sagna, Digne, Sissoko, Schneiderlin.
Manager: Deschamps 6

kikosi cha Germany: Neuer 7, Lahm 7.5, Hummels 7, Boateng 6, Howedes 6.5, Ozil 6 (Gotze 83), Kroos 6.5 (Kramer 90+2), Schweinsteiger 7.5, Khedira 6, Muller 6.5, Klose 6 (Schurrle 69, 6).
Subs not used: Zieler, Weidenfeller, Grosskreutz, Ginter, Podolski, Draxler, Durm, Mertesacker.

Manager: Low 8
Booked: Khedira, Schweinsteiger
Goals: Hummels
Referee: Nestor Pitana 7 (Argentina)



Chapisha Maoni