Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


TP MAZEMBE ipo ugenini hii leo kukipiaga na Zamalek katika mchezo ambao unatanzamiwa kuwa utakuwa wa kukata na mundu kutokana na ubora ya timu zote mbili huku mazembe ikiwa kileleni katika kundi A kwa kufikisha alama 6.



Katika Mechi yao ya kwanza waliyocheza Juni 8 huko Lubumbashi, TP Mazembe iliitungua Zamalek Bao 1-0 kwa Bao la Rainford Kalaba.
 RATIBA KWA UJUMLA



Julai 27 LEO
AS Vita Club v Al Hilal 18:00
Zamalek v TP Mazembe 22:30
Agosti 9
TP Mazembe v Al Hilal
Zamalek v AS Vita
Agosti 23
Al Hilal v Zamalek
AS Vita v TP Mazembe


MSIMAMO:
KUNDI A
NA TIMU P W D L GF GA GD PTS
1 TP Mazembe 3 2 0 1 2 1 1 6
2 AS Vita 3 1 1 1 3 3 0 4
3 Al Hilal 3 1 1 1 3 3 0 4
4 Zamalek 3 1 0 2 3 4 -1 3


Chapisha Maoni