Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


vijana chini ya umri wa miaka 17 wa timu ya Taifa, Serengeti Boys imefungwa mabao 4-0 na  Afrika Kusini, Amajimbos  leo Uwanja wa Dobsonville mjini Soweto, hivyo kutolewa katika kinyang'anyiro cha kuwania tiketi ya fainali za vijana baada ya awali kulazimishwa sare ya bila kufungana Uwanja wa Azam Complex, Chamazi, Dar es Salaam. wiki zilizopita
SERENGETI BOYS YAPIGWA 4-0 NA AMAJIMBOS
SERENGETI BOYS YAPIGWA 4-0 NA AMAJIMBOS


Chapisha Maoni