Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Taarifa iliyotolewa kuhusiana na timu ya soka ya Mtibwa sugar kumsajili kocha wa zamani wa simba mfarasa patrick leawig sio za kweli ambapo msemaji wa wakata miwa hao Tobiasi kifaru amekanusha taarifa hizo.

akizungumza na mwndishi wa gazeti la michezo la championi na Jelamba viwanjani  Alex mapunda kifaru amesema kuwa wataendelea kumtumia kocha walienae hivi sasa na hawajafikiria kabisa kusajili kocha toka nje kwa kipindi hiki.

"kwa mtibwa ambayo nimefanyia mimi kazi kwa zaidi ya miaka 26 hatuna mipango ya kusajili kocha toka nje na tutaendelea kuwatumia vijana wetu ambao tunawanini watatusaidia,taarifa hizo sio rasmi" alisema kifaru.


Chapisha Maoni