Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



Utamu huo umezidi baada ya Gor Mahia kueleza kwamba mashabiki wake wakiwa kwenye mabasi matano wanaondoka Nairobi kuja Dar es Salaam kuishangilia timu yao katika mechi hiyo hiyo dhidi ya Simba kwenye Uwanja wa Taifa.






Mechi hiyo itafanyika siku ya jumamosi viingirio vya mchezi huo, vvitakuwa sh.5000 kwa upande wa viti vya kijani, kwenye viti vya rangi ya chungwa itakuwa sh.10,000, huku VIP B na C, kikiwa sh.20,000 na VIP A kikiwa sh.30,000. Kaburu alisema tiketi za mchezo huo zitauzwa siku hiyo hiyo ya mechi kuanzia majira ya Saa 4:00 asubuhi.


Chapisha Maoni