Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 
TIMU ya yanga leo imechezea kichapo cha bao 2 kwa sifuri toka kwa mtibwa sugar ya tuliani morogoro,huku JAJA akishindwa kuonyesha makeke yake katika mchezo huo.
   MABAO YA MUSA MGOSI, NA ALLY
RECODI ZAO
Septemba 19, 2009: Mtibwa 1-2 Yanga
Septemba 15, 2010: Mtibwa 1-1 Yanga
Februari      2, 2011: Yanga   0-1 Mtibwa
Septemba   7, 2011: Mtibwa  0-0 Yanga
Februari      8, 2012: Yanga   3-1 Mtibwa
Septemba  19, 2012 Mtibwa  3-0 Yanga
Februari      2, 2013 Yanga   1-1 Mtibwa
Oktoba        6, 2013 Yanga   2-0 Mtibwa
Machi        16, 2014 Mtibwa  0-0 Yanga


Chapisha Maoni