Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



HISTORIA YA LIGI KUU YA TANZANIA

Sare zimeendelea kuitafuna Simba ya Dar es Salaam baada ya kutoka sare ya bao 1-1 dhidi ya Prisons ya Mbeya siku ya leo mchezo wa kwanza simba wakicheza nje ya dar es salam.

Katika mechi hiyo iliyochezwa kwenye Uwanja wa Sokione mjini Mbeya, Simba iliongoza kwa dakika 89, kabla ya Prisons kusawazisha.
Hiyo ni sare ya tano kwa Simba ambayo imecheza mechi tatu nyumbani tatu nyumbani Dar es Salaam na kutoka sare zote.
Simba ilipata bao lake mapema katika kipindi cha kwanza kupitia kwa Emmanuel Okwi.
Lakini mambo yakabadilika katika hatua za mwisho kabisa, baada ya Hamisi Mahingo kusawazisha.


Mechi za leo14/10/25
FTSTAND UNITED 0 : 3YANGA SC
FTNDANDA FC 0 : 1MGAMBO JKT
FTKAGERA SUGAR 1 : 1COASTAL UNION
FTAzam FC 0 : 1JKT RUVU
FTT.PRISONS 1 : 1SIMBA SC
FTRUVU SHOOTING 1 : 0Polisi Morogoro


Chapisha Maoni