Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.

Shirikisho la kanda kanda barani Africa CAF linaendelea kuchambua ni nchi gani itakayookoa jahazi ya kuwa mwenyeji wa fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika mwaka 2015 baada ya kuthibitisha Morocco kuondolewa rasmi kuandaa fainali hizo.
Nchi ya Morocco imeondolewa kutokana na kukataa kuwa mwenyeji ya mashindano hayo mwakani kwa hofu ya ugonjwa wa Ebola.
Inasemekana  fainali hizo zinaweza sasa kupelekwa Angola nchi iliyokuwa mwenyeji wa fainali hizo miaka minne iliyopita.
Nchi nyingine zinazodhaniwa kuweza kuandaa mashandano hayo ni Gabon na Nigeria. Shirikisho la kanda kanda barani Afrika linasema litatoa uamuzi ni nchi ipi itakayoandaa mashindano hayo haraka iwezekanavyo.

MABONDIA SAMSON MAISHA NA IBRAHIMU TAMBA WATAMBIANA KUZIDUNDA JUMAPILI NOVEMBA 9 MANYARA PARK MANZESE Bondia Maisha Samson kushoto wakitunishiana misuli na Ibrahimu Tamba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika jumapili ya novemba 9 katika ukumbi wa manyara park tandale CCM Picha na SUPER D BLOG Bondia Maisha Samson kushoto wakitunisha misuli na Ibrahimu Tamba wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika jumapili ya novemba 9 katika ukumbi wa manyara park tandale CCM Picha na SUPER D BLOG Samson Maisha Ibrahimu Tamba Mabondia Ibrahimu Tamba wa Dar kushoto na Samson Maisha wa Kyela Mbeya wakinyoshwa mikono juu na mratibu wa mpambano huo Jafari Ndame wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya Novemba 9 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM Picha na SUPER D BLOG Mabondia Ibrahimu Tamba wa Dar na Samson Maisha wa Kyela Mbeya wakitunishiana misuli wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika Jumapili ya Novemba 9 katika ukumbi wa Manyara Park Tandale CCM katikati ni mratibu wa mpambano huo Jafari Ndame Picha na SUPER D BLOG NGUMI KUPIGWA JUMAPILI MANZESE UKUMBA WA MANYARA Na Mwandishi Wetu BONDIA Samsoni Maisha wa kyela Mbeya amewasili jijini Dar es salaam na kutamba kunyakuwa ubingwa wa TPBO kwa kumpiga Ibrahimu Tamba wakati wa mpambano utakaofanyika novemba 9 mwaka huu katika ukumbi wa Manyara Park Manzese Dar es salaam mpambano huo wa raundi kumi kugombania ubingwa wa taifa unaotambuliwa na TPBO utatanguliwa na mpambano mwingine wa ubingwa kati ya julius Kisarawe na Moro Best mpambano wa raundi kumi pia mwandaaji wa mpambano huo Jafari Ndame amesema maandalizi yote yapo tayali hivyo wanasubili siku tu kukamilisha mpango mzima aliongeza kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi ambapo Karim Ramadhani atapambana na Stevin Kobelo na Robinson Msimbe atamenyana na Fadhili Boika na mipambano mingene mikali zaidi siku hiyo kutakuwa na michezo ya utangulizi zaidi ya nane yenye raundi sita sita katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na ulinzi wa kutosha kabisa kutokana na kujipanga vizuri katika swala hilo kingilio ni shilingi, 5000; kwa kila mtu mchezo huu utapambwa na burudani mbalimbali Make Money at : http://bit.ly/best_tips

Make Money at : http://bit.ly/best_tips

Chapisha Maoni