FEDERER AJITOA MICHUANO YA DUNIA ATP
Mbabe
wa Tenis Roger Federer amejiondoa kwenye Fainali ya michuano ya dunia
ya ATP ambapo alikua anatarajiwa kuchuana na Novak Djokovic. imeelezwa
kuwa chanzo cha kujitoa ni maumivu ya mgongo aliyokua akiyapata....
Mswiss huyo alijitokeza hadharani kwenye uwanja wa 02 Arena mwenyewe na kutangaza kuwa hayuko tayari kucheza .Federer alimshinda Stan Wawrinka kwa 4-6 7-5 7-6(8-6) siku ya jumamosi katika mchezo wa kusisimua wa nusu fainali ambao ulichezwa kwa saa mbili na dakika 48.
Chapisha Maoni