Mercedes B-Class Electric Drive. Thamani yake ni pauni £32,670 (zaidi ya Sh million 103) kwa gari moja.
Tajiri Vichai Srivaddhanaprabha raia Thailand ameamua kutoa magari 30 aina hiyo kwa wachezaji na wale wa benchi la ufundi baada ya Leicester kutwaa ubingwa wa Ligi Kuu England.
Mercedes B-Class Electric Drive ni gari la kisasa linalotumia umeme badala ya mafuta.
Gari hilo huchajiwa kama ilivyo kwa simu, kawaida kuna vituo maalum kwa ajili ya kazi hiyo.
Vituo hivyo vinatumika kama sehemu ya kujazia mafuta kwa magari yanayotumia mafuta.
Asante kwa kutembelea Hope FM Iringa, Asante kwaku-share habari hii, Kama una Maoni, Ushauri, Story ya ku-share na sisi na au Unahitaji msaada...!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Wasiliana nasi kwa Email hopefmiringa@gmail.com au ungana nasi kupitia mitandao ya kijamii hapo chini!
Jisajili kwenye:
Chapisha Maoni (Atom)
Chapisha Maoni