Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 
TIMU ya Simba imepata ushindi mnono wa bao 4-0 dhidi ya Taifa Jang'ombe katika mchezo wa robo fainali ya kwanza uliopigwa leo zanzibar.

mabao ya simba yamefungwa  na Ibrahim Hajibu pamoja makongwe shabani kisiga.

kwa matokeo hayo simba inamsubiri mshindi kati ya Polisi pamoja na KCCA katika mchezo wa nusu fainali.

RATIBA YA KESHO

15:00
KCCA
Vs    
Polisi
20:15
YANGA
Vs    
JKU
17:00
AZAM FC
Vs    
MTIBWA SUGAR




Chapisha Maoni