Gerrard playing for Liverpool in 2014. |
|||
Personal information | |||
---|---|---|---|
Full name | Steven George Gerrard[1] | ||
Date of birth | 30 May 1980 [1] | ||
Place of birth | Whiston, Merseyside, England | ||
Height | 1.83 m (6 ft 0 in)[2] | ||
Playing position | Midfielder | ||
Club information | |||
Current team
|
Liverpool | ||
Number | 8 | ||
Youth career | |||
1987–1998 | Liverpool | ||
Senior career* | |||
Years | Team | Apps† | (Gls)† |
1998– | Liverpool | 494 | (116) |
National team | |||
1999–2000 | England U21 | 4 | (1) |
2000–2014 | England | 114 | (21) |
* Senior club appearances and goals counted for the domestic league only and correct as of 1 January 2015. † Appearances (Goals). |
Nahodha wa timu ya Liverpool ya
Uingereza Steven Gerrard ataondoka katika klabu hiyo wakati mkataba wake
utakapomalizika mwishoni mwa msimu huu.
Gerrard, mwenye umri wa
34, alikuwa huru kusaini makataba wa awali na timu ya nje siku ya
Alhamisi na anaaminika kutatakiwa na vilabu vya Marekani.Gerrard, ambaye alianza kuichezea Liverpool mwaka1998, hatahamia katika klabu nyingine ya Uingereza.
Liverpool ilimpa Gerrard mkataba mpya mwezi Novemba na atatoa taarifa kuhusu mustakhabali wa maisha yake ya soka Ijumaa.
Rais wa klabu ya LA Galaxy ya Marekani Chris Klein amekataa kusema lolote kuhusu klabu yake kumsajili Gerrard, ambaye alifunga penalti mbili katika matokeo ya sare ya 2-2 na timu ya Leicester City katika mechi iliyochezwa siku ya Mwaka Mpya 2015.
Chapisha Maoni