kiungo wa timu ya Manchester City
Yaya Toure amekuwa mchezaji wa kwanza kutajwa na shirikisho la soka barani
Afrika kuwa mchezaji bora wa mwaka kwa mwaka wanne mfululizo.
Toure ana umri wa miaka
31,aliteuliwa baada ya kucheza kwa kujitoa na kuleta ushindi katika Premier
League na League Cup, na pia alijitoa kuisaidia Ivory Coast kuingia katika
kombe la mataifa ya Africa yatakayo fanyika baadaye mwaka huu.
Toure amewapiku mshambuliaji kutoka
Gabon, Pierre Emerick Aubameyang na golikipa mnigeria Vicent Enyeama.Toure pia
alikwaa tuzo ya FIfa ya Ballon D'Or mwezi wa kumi mwaka wa jana..
-National Team of the Year - Algeria
Women National Team of the Year - Nigeria
Club of the Year - ES Setif (Algeria)
Most Promising Talent - Yacine Braimih - Algeria
Best Youth Player of the Year - Asisat Oshoala - Nigeria
Woman Footballer of the Year - Asisat Oshoala
Coach of the Year - Kheeireddine Madoui (ES Setif) of Algeria
Chapisha Maoni