Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


CHID BENZ APANDISHWA KIZIMBANI TENA
                           CHID BENZ AKITOKA MAHAKAMANI




Msanii hip hop, Rashid Makwiro 'Chid Benz' amehukumiwa miaka miwili kwenda jela.



Hukumu hiyo imetolewa leo katika Mahakama ya Hakimu Mkazi wa Kisutu jijini Dar es Salaam ambako kesi yake ya kukamatwa na madawa ya kulevya ilikuwa inasikilizwa.

Hukumu ilikuwa ni adhabu ya miaka miwili jela au kulipa faini ya Sh 9,000,000 ambayo aliilipa baada ya watu wake kujitokeza na kukamilisha hilo

Chid Benz alikiri madawa aliyokamatwa nayo kwenye mfuko wa shati yalikuwa yake.







































Chapisha Maoni