Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





         MECHI ZA LEO 2015-02-22
16:30
MBEYA CITY
-
 : 
-
YANGA
16:00
STAND UNITED
-
 : 
-
SIMBA SC
20:00
AZAM FC
-
 : 
-
T.PRISONS
16:00
AFRICAN SPORT
-
 : 
-
MWADUI FC

Kama walivyofanya Mbeya City, mashabiki wa Stand United wamekesha wakiulinda Uwanja wa Kambarage ili Simba wasichimbie 'ndumba'.



Baadhi ya mashabiki wa Stand United wamekuwa uwanjani hapo usiku wote wakihakikisha hakuna mtu anayeingia ndani ya uwanja huo uliopo mjini Shinyanga.

Simba inaivaa Stand kwenye uwanja huo ikiwa ni mechi ya marudiano ya Ligi Kuu Bara baada ya sare ya bao 1-1 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar katika mzunguko wa kwanza.

Tayari wachezaji wa Stand wameporwa timu zao na viongozi kwa hofu ya hujuma.

Mashabiki wa Mbeya City pia wamekesha wakilinda uwanja wa Sokoine ili kuzuia mashabiki wa Yanga kuingia usiku na "kufanya mambo yao".

Hivi karibuni, mashabiki wa Coastal Union na wanachama walikesha uwanjani wakilinda Mkwakwani kwa hofu hiyohiyo ya ushirikina.

Vodacom Premier League
Season: 2014-2015

Table

Pos   Team Pld W T L GoalsDiff Pts
1 Young Africans 14 8 4 2 1811 28
2 Azam 14 7 5 2 2210 26
3 Kagera Sugar 16 6 6 4 132 24
4 Simba 14 4 8 2 154 20
5 Ruvu Shooting 15 5 5 5 10-1 20
6 Mtibwa Sugar 15 4 7 4 150 19
7 JKT Ruvu 15 5 4 6 14-1 19
8 Coastal Union 16 4 7 5 100 19
9 Polisi Morogoro 16 4 7 5 12-2 19
10 Ndanda 16 5 4 7 14-4 19
11 Mbeya City 14 4 5 5 9-2 17
12 Mgambo JKT 14 5 2 7 8-7 17
13 Stand United 15 3 6 6 13-5 15
14 Prisons 14 1 8 5 10-5 11


Chapisha Maoni