Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





Yanga imelipizaa kisasi kwa kuichapa Mtibwa Sugar kwa mabao 2-0 katika mechi ya Ligi Kuu Bara iliyochezwa kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar baada ya kufungwa katika nchezo wa kwanza morogoro.

Kwa ushindi huo sasa Yanga imepaa adi kileleni kwa kuwa na pointi 25 ikiiacha Azam yenye pointi  22 ambapo mabao yote ya yanga yamefungwa na Ngasa.
 


Chapisha Maoni