Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



 Kaseba akichapana na Maugo. Maugo alishinda kwa KO
 Karama Nyilawila, akishangilia ushindi wake wa KO alipomwangusha mpinzani wake, Tamba
 Tamba, akihesabiwa.
 Tamba akipambana na Nyilawila.....
 Karama akimkalisha mpinzani wake, Tamba.....
 Sehemu ya mashabiki Raia wa China waliofika ukumbini kumshangilia bondia wao....
 Ashraf, akiondoka ulingoni baada ya kumchapa mpinzani wake kwa KO....
 Ashraf (kushoto) akichapana na mpinzani wake kutoka Kenya....
 Bondia Francis Cheka, akifurahia jambo na mashabiki wake ukumbini humo......
 Kaseba, akihojiwa baada ya kupigwa kwa KO......
 Maugo, akishangilia na mashabiki wake baada ya kutangazwa mshindi.....
 Cheka na mdogo wake Cosmas, wakifuatilia mapambano yaliyokuwa yakiendelea.....
 Ndundi za Kaseba na Maugo....
 Mchina na Matumla Jr......
 Mashabiki wa Matumla Jr, wakimsindikiza bondoa wao ulingoni.....
 Mtangazaji wa Azam Tv, Patrick Nyembela, akiwa na watangazaji wenzake aliowahi kufanya nao kazi EATV, waki Show Love.....
 Mhariri wa gazeti la Mtanzania Michezo, mwani Nyangasa, akishow Love na Bondia Francis Cheka....
 JB akiwa na washkaji zake wakifuatilia mapambano hayo....
 Bondia wa Kike kutoka Kenya (kushoto) akimkalisha Asha Ngedeke wa Tanzania, na kutwaa mkanda wa ubingwa....
 Ndundi zikiendelea.....
 Bondia, Tamba akiwa chini baada ya konde zito la Karama....
 Ndundi zikiendelea...


Chapisha Maoni