Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Fainali ya kumsaka Bingwa wa Ligi Daraja la Pili (SDL) inatapigwa kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam, Jumapili.

Mchezo huo wa fainali utazikutanisha timu za Mbao FC ya Mwanza dhidi ya Kiluvya United FC ya Pwani, ambapo mshindi wa mchezo ndio atakua bingwa mpya wa Ligi Daraja la Pili.
Jumla ya timu nne tayari zimeshapanda Ligi Daraja la Kwanza (FDL) kutoka Ligi Daraja la Pili (SDL) ambazo ni Kiluvya United ya Pwani, Mji Njombe ya Njombe, Mbao ya Mwanza na Mji Mkuu (CDA) ya Dodoma.


Chapisha Maoni