Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




Pos   Team Pld W T L GoalsDiff Pts
1 Young Africans 17 10 4 3 2313 34
2 Azam 17 9 6 2 2412 33
3 Simba 19 7 8 4 228 29
4 Kagera Sugar 19 6 7 6 16-1 25
5 Mgambo JKT 18 7 3 8 13-4 24
6 Coastal Union 19 5 9 5 141 24
7 Mtibwa Sugar 18 5 8 5 180 23
8 JKT Ruvu 18 6 5 7 15-1 23
9 Mbeya City 19 5 8 6 14-2 23
10 Ruvu Shooting 19 5 8 6 13-2 23
11 Ndanda 19 6 4 9 17-6 22
12 Stand United 19 5 6 8 16-7 21
13 Polisi Morogoro 19 4 8 7 13-4 20
14 Prisons 18 2 10 6 13-7 16
LIGI  kuu ya vodacom bara inatarajia kuendelea wikendi hii ambayo Dar es salam yanga Africa immesafiri kwenda Tanga kuivaa Mgambo JKT ambao Jumatano waliichaoa Simba 2-0 huko huko Mkwakwani Jijini Tanga.
Jumatano hiyo hiyo, Yanga wakiwa Uwanja wa Taifa Dar es Salaam waliifunga Kagera Sugar 2-1 na kutwaa uongozi wa Ligi.
Jumamosi Yanga watacheza na Mgambo JKT ambayo ina desturi kuvimbia Timu vigogo kwenye Mechi itakayochezwa Mkwakwani Jijini Tanga.
Siku hiyo hiyo Ndanda FC watakuwa Wenyeji wa JKT Ruvu huko Nangwanda Mtwara na Jumapili Simba wako Dar es Salaam kucheza na Ruvu Shooting wakati Tanzania Prison wako kwao Sokoine Jijini Mbeya kucheza na Polisi Moro na Azam FC watakuwa Wageni wa Coastal Union huko Mkwakwani, Tanga.
Kimsimamo, Yanga wako kileleni wakiwa na Pointi 34 kwa Mechi 17 wakifuata Azam FC wenye Pointi 33 kwa Mechi 17 na Nafasi ya 3 ni Simba yenye Pointi 29 kwa Mechi 19 wakifuatwa na Kagera Sugat wenye Pointi 25 na Mgambo JKT wana Pointi 24.


Chapisha Maoni