Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


YANGA yanga imeendeleza ubabe katika ligi kuu ya vodacom Tanzania bara baada ya kuibugiza Mbeya City bao 3-1

Mabao ya Yanga yamefungwa na Mliberia, Kpah Sherman,Salum Telela aliyepiga shuti kali baada ya kupokea pasi ya Haruna Niyonzima,huku bao la tatu likifungwa na Kannavaro Dakika ya .


Bao la Mbeya City limefungwa na mkongwe Themi Felix aliyewatoka mabeki Nadir Haroub na Oscar Joshua kabla ya kufunga kiufundi


Chapisha Maoni