Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.





IMG-20150524-WA0010

Baada ya tetesi za muda mrefu, hatimaye mambo yameamilika baada ya Yanga kufanikiwa kumsajili kiungo Haruna Chanongo.

Yanga imemsajili Chanongo akitokea Simba ambayo ilikuwa
imepeleka Stand United kwa mkopo.
Vile vile
Kiungo nyota aliyetamba na Mbeya City, Deus Kaseke sasa ni mali ya Yanga.

KAseke amejiunga na Yanga baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili, jana.


Kwa Upande Wa Wekundu Wa Msimbazi Simba

Kiungo wa Mbeya City, Peter Mwalyanzi amejiunga na Simba ya Dar es Salaam.

Mwalyanzi amesaini mkataba wa miaka miwili kuichezea Simba leo jijini Dar.

MWalyanzi amesaini mkataba huo mbele ya Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe, makamu wake Kassim Dewji na mjumbe Collins Frisch.



Chapisha Maoni