Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



kunieleza nikalifanyia kazi,” alisema.
Chelsea sasa ni mabingwa rasmi wa Ligi Kuu England ikiwa ni baada ya kuifunga Crystal Palace kwa bao 1-0.

Katika mechi iliyopigwa kwenye Uwanja wa Stamford Bridge maarufu kama darajani, Chelsea walipata bao lao kupitia kwa Eden Hazard ambaye alipiga mkwaju wa penalti ukaokolewa na kipa lakini mpira ukamputa yeye ambaye aliumalizia kwa kichwa.
 
Kwa ushindi huo, Chelsea imefikisha pointi 83 ambazo hazitafikiwa na timu nyingine yoyote.
Chelsea: Courtois, Ivanovic, Cahill, Terry, Azpilicueta, Fabregas, Matic, Cuadrado (Mikel, 45), Willian (Zouma, 85), Hazard (Filipe Luis, 92), Drogba. 
Subs: Cech, Ake, Remy, Loftus-Cheek.
Scorer: Hazard, 45. 
Booked: Ivanovic, Terry 
Crystal Palace: Speroni, Mariappa (Kelly, 60), Dann, Delaney, Ward, Puncheon (Sanogo, 71), McArthur, Ledley, Zaha, Mutch (Murray, 61), Bolasie. 
Subs: Hangeland, Hennessey, Jedinak, Lee.
Booked: Mariappa, Dann. 
Referee: Kevin Friend (Leicestershire)














Chapisha Maoni