Rafael
Benitz, yule kocha aliyeipa Liverpool ubingwa wa Ulaya, ametua Real
Madrid, sasa ndiye kocha mkuu kwa kuwa anachukua nafasi ya Carlo
Ancelotti.
Benitez
aliwahi kuwa kocha wa timu ya vijana ya Madrid, sasa amerejea kama
kocha wa timu kubwa na kusaini mkataba ambao utamuwezesha kuingoza klabu
hiyo inayotaka kombe kila mwaka.
Zinedine Zidane (left), now the coach of Real Madrid's B team, greets new manager Benitez
The 55-year-old Spaniard Benitez will be unveiled at a press conference on Wednesday
Benitez is a two-time winner of La Liga with Valencia and will look to reclaim the trophy as Madrid boss
WASIFU:
Born: April 16, 1960
PLAYING CAREER
Real Madrid Castilla (1974-1981),Parla (124 league
appearances, 1981-1985), Linares (34 league appearances, 1985-1986).
MANAGERIAL CAREER
Real Madrid B (1993–1995), Valladolid
(1995–1996), Osasuna (1996), Extremadura (1997–1999), Tenerife
(2000–2001), Valencia (2001–2004), Liverpool (2004–2010), Inter
Milan (2010-2011), Chelsea (2012–2013), Napoli (2013–2015), Real
Madrid (2015–present)
HONOURS
VALENCIA
La Liga: 2001–02, 2003–04; UEFA Cup: 2003–04
LIVERPOOL
FA Cup: 2005–06; Champions League:
2004–05; Super Cup: 2005
INTER MILAN
Supercoppa Italiana: 2010; FIFA Club World Cup: 2010
CHELSEA
UEFA Europa League: 2012–13
NAPOLI
Coppa Italia: 2013–14; Supercoppa Italiana: 2014
Chapisha Maoni