UEFA CHAMPIONZ LIGI
RAUNDI YA MWISHO YA MCHUJO
Marudiano
Jumatano Agosti 26
Mechi zote kuanza Saa 3 Dakika 45 Usiku
Kwenye Mabano Mabao toka Mechi ya Kwanza
APOEL Nicosia v Astana [0-1]
Partizan Belgrade v BATE Borisov [0-1]
Bayer Leverkusen v Lazio [0-1]
CSKA Moscowv Sporting CP [1-2]
Club Brugge v Manchester United [1-3]
Marudiano-Matokeo
Jumanne Agosti 25
**Kwenye Mabano Mabao kwa Mechi mbili
Dinamo Zagreb 4 Skenderbeu 1 [6-2]
Malmo 2 Celtic 0 [4-3]
Maccabi Tel Aviv 1 FC Basel 1 [3-3, Maccabi yasonga]
AS Monaco 2 Valencia 1 [3-4]
Shakhtar Donetsk 2 Rapid Vienna 2 [3-2]
Chapisha Maoni