VIINGILIO:
-VIP A: Sh. 30,000/=
-VIP B & C: Sh 20,000/=
-VITI RANGI YA BLU, KIJANI & ORANGE: Sh
7,000/=
MAUZO TIKETI:
-Kuanza kuuzwa- Leo Ijumaa Saa 2 Asubuhi
-VITUO:
-Karume – Ofisi za TFF
-Buguruni – Oilcom
-Dar Live – Mbagala
-Uwanja wa Taifa
-Luther House – Posta
-Ferry – Kivukoni
-Mnazi Mmoja
-Ubungo – Oilcom
-Makumbusho – Standi ya Mabasi ya Daladala.
Timu hizi kwa sasa zimejichimbia Visiwani
ambako Yanga wako Pemba na Simba wako huko
Zanzibar.
VIKOSI VINATARAJIWA KUWA:
SIMBA: Peter Manyika,Mohammed
Hussein‘Tshabalala’, Hassan Isihaka, Juuko
Murshid, Hassan Kessy, Said Ndemla, Justice
Majibva, Jonas Mkude, Mwinyi Kazimoto, Hamisi
Kiiza, Peter Mwalyanzi
YANGA: Ali Mustapha ‘Barthez’, Mbuyu Twite,
Kelvin Yondani, Nadir Haroub ‘Cannavaro’, Haji
Mwinyi, Thabani Kamusoko, Haruna Niyonzima,
Deus Kaeseke, Simon Msuva, Donald Ngoma,
Amisi Tambwe
MAREFA:
-Refa Mkuu: Israel Nkongo (Dsm)
-Marefa Wasaidizi: Josephat Bulali (Tanga),
Ferdinand Chacha (Mwanza)
-Mwamuzi wa Akiba: Soud Lila (Dsm)
-Kamisaa: Charles Mchau (Kilimanjaro)
LIGI KUU VODACOM
RATIBA
Jumamosi Septemba 26
Simba v Yanga
Coastal Union v Mwadui
Tanzania Prisons v Mgambo Shooting
JKT Ruvu v Stand United (Uwanja wa Karume,
Dar es salaam)
Mtibwa Sugar v Majimaji
Kagera Sugar v Toto Africans (Uwanja wa Ali
Hassan Mwinyi, Tabora)
Jumapili Septemba 27
Azam FC v Mbeya City
African Sports v Ndanda F2F
Chapisha Maoni