Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


SAFU ya Raundi ya Mtoano ya Timu 16 ya UEFA CHAMPIONZ LIGI, UCL, imekamilika Jana na Timu za England, Arsenal na Chelsea, zilishinda hapo Jana na kutinga Mtoano.
Timu hizo zinaungana na Chelsea iliyofuzu mapema ikiwa na Mechi 2 mkononi.
Juzi Man United ilitolewa UCL na kutupwa UEFA EUROPA LIGI baada ya kumaliza Nafasi ya 3 kwenye Kundi B.
Man United sasa itacheza Raundi ya Mtoano ya Timu 32 ya Kombe hilo.
Droo za kupanga Mechi za Raundi ya Mtoano ya UCL na ile ya EUROPA LIGI itafanyika Desemba 14.
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Hali ilivyo hadi sasa:
Washindi wa Makundi: Real Madrid, Wolfsburg, Atletico Madrid, Manchester City, Barcelona, Bayern Munich, Zenit, Chelsea
Washindi wa Pili wa Makundi: Paris Saint-Germain, PSV Eindhoven, Benfica, Juventus, AS Roma, Arsenal, Dynamo Kiev, Gent
Wametupwa Europa Ligi: Shakhtar Donetsk, Manchester United, Galatasaray, Sevilla, Bayer Leverkusen, Olympiakos, FC Porto, Valencia
Wametolewa: Malmö, CSKA Moskva, Astana, Borussia Mönchengladbach, Dinamo Zagreb, Maccabi Tel-Aviv, Lyon, BATE Borisov
UEFA CHAMPIONZ LIGI
Mechi za mwisho za Makundi
Jumatano Desemba 9
KUNDI E
Bayer Leverkusen 1 Barcelona 1
Roma 0 BATE Borislov 0
KUNDI F
Dinamo Zagreb 0 Bayern Munich 2
Olympiakos 0 Arsenal 3
KUNDI G
Chelsea 2 FC Porto 0
Dynamo Kiev 1 Maccabi Tel Aviv 0
KUNDI H
KAA Gent 2 Zenit Saint Petersburg 1
Valencia 0 Lyon 2



Chapisha Maoni