Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


Jana huko Addis Ababa Nchini Ethiopia, Uganda ilitwaa Kombe la Chalenji Cup baada ya kuifunga Rwanda 1-0 na kutwaa Kombe na Tuzo ya Dola 30,000.
Ushindi huu wa Uganda, maarufu kama The Cranes, umewapa Taji lao la 14 la Ubingwa wa Nchi za Afrika Mashariki na Kati.
Bao lao la ushindi lilifungwa na Ceasar Okhuti katika Dakika ya 15 alipounganisha kwa Kichwa Krosi ya Fulbeki wa Kulia Denis Okot.
Kabla ya Fainali hii ilichezwa Mechi ya kusaka Mshindi wa 3 kati ya Ethiopia na Sudan na Wenyeji Ethiopia kushinda kwa Mikwaju ya Penati 4-3 baada ya Sare ya 1-1.
RATIBA/MATOKEO:
Robo Fainali
Jumatatu Novemba 30
Uganda 2 Malawi 0
Kilimanjaro Stars 1 Sudan 1 [Ethiopia yasonga kwa Penati 4-3]
Jumanne Desemba 1
South Sudan 0 Sudan 0 [Sudan yasonga kwa Penati 5-3]
Rwanda 0 Kenya 0 [Rwanda yasonga kwa Penati 5-3]
Nusu Fainali
Alhamisi Desemba 3
Sudan 1 Rwanda 1 [Sudan yasonga kwa Penati 4-2]
Uganda 0 Ethiopia 0 [Uganda yasonga kwa Penati 5-3]
Jumamosi Desemba 5
Mshindi wa Tatu
Ethiopia 1 Sudan 1 [Ethiopia imeshinda kwa Penati 4-3]
Fainali
Uganda 1 Rwanda 0
Mmiliki © 2015 SOKA [Tanzania] LIMITED [BNN 250039]. Haki Zote Zimehifadhiwa.
Imebuniwa Na KenyaWebExperts.com
Details Created: Saturday, 05 December 2015 17:43
Print Email
HABARI MOTOMOTOZ



Chapisha Maoni