Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.



ROBO Fainali za 2016 African Nations Championship (Chan 2016), ambazo ni  Fainali za Mataifa ya Afrika kwa Wachezaji wachezao ndani ya Afrika, zinazochezwa huko Rwanda, Leo zitaanza kuchezwa ndani ya Stade Amahoro Mjini Kigali kwa Wenyeji Rwanda kucheza na Jirani zao Congo DR.
Mechi ya Pili ya Robo Fainali hizo ni huko Stade Huye kati ya Cameroun na Ivory Coast.
Robo Fainali nyingine mbili zitachezwa kesho.
CHAN 2016
ROBO FAINALI
Jumamosi Januari 30
1600 Rwanda v Congo DR [Stade Amahoro]
1900 Cameroun v Ivory Coast [Stade Huye]
Jumapili Januari 31
1600 Tunisia v Mali [Stade Regional Nyamirambo]
1900 Zambia v Guinea [Umuganda Stadium]
NUSU FAINALI
Jumatano Februari 3
Rwanda/Congo DR v Zambia/Guinea
Alhamisi Februari 4
Tunisia/Mali v Cameroun/Ivory Coast
Jumapili Februari 7
Mshindi wa 3
FAINALI


Chapisha Maoni