Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.


 NA ALEX MAPUNDA.

MCHEZO wa kukata na shoka klabu bingwa Afrika kati ya aL Ahly na Yanga ya Tanzania sasa utachezwa katika uwanja wa Border Guard mjini Alexandria,baada ya kuwepo stofahamu kuhusu uwanja gani utatumika katika mtanange huo.
  YBorder Guard Dimba la Haras el Hadod



mchezo huo umeamishwa toka kairo,baada ya Mashabiki wa Al Ahly kuwajeruhi Polisi 25 mwezi uliopita katika mchezo wa  CAF, Super Cup wakiifunga CS Sfaxien ya Tunisia mabao 3-2 Uwanja wa Kimataifa wa Cairo.
Kwa ujumla mechi zote za soka Misri tangu mwaka 2013 alipong’olewa Rais Mohammad Mursi zimekuwa zikichezwa bila mashabiki.

 Yanga ilifanya mazoezi yake ya kwanza katika Uwanja uliopo pembezoni mwa hoteli ya Nile huku ikijiwinda vilivyo na mtanange huo ambapo yanga inaitaji ushindi au sare ya aina yeyote baada ya kuibuka ya ushindi wa bao 1-0 mjini Dar es salam.







Chapisha Maoni