Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 Early lead: Samuel Eto'o celebrates scoring the opening goal after just five minutes at Stamford Bridge


 WATOTO wa Mourinho leo wameziilisha kuwa ni vidume nchini uingereza,huku wakituma salam kwa wapinani wao wa klabu bngwa ulaya, mara baada yakuwatungua Alsenal bila huruma bao 6-0 mchezo ambao Chelsea walikuwa katika uwanja wao wa nyumbani.

chelsea walianza kuwasulubu  Alsenal dk ya 5 kupitia kwa kibabu Samwel Eto'o na dakika ya pili baadae Schurrle akapachika bao la pili kwa ufundi mkubwa.

 
 Hazard halipigilia msumari wa tatu kwa mkwaju wa penalti dk 17 baada ya beki wa alsenal kupanji mpira kwa mkono katika eneo la hatari,lakini kabla ya mapumziko mmbrazil Oscar akapigilia msumari mwingine mnamo dakika ya 42.

kuona hiyo haitoshi  oscar akarudi tena wavuni dk 65, kabla ya  Salah kuitimisha karamu hiyo ya magoli dakika 71,na kuzamisha kabisa jahazi la Alsenal.

 
 Rampant: Oscar (left) celebrates with team-mates after scoring the fourth


 ce.
Aware: Oxlade-Chamberlain looks guilty after handling the ball on the goal-line
Chamberlain akiwa katika hali ya uzuni mara baada ya kusbabisha penalti kwa kunawa mpira katika eneo la hatari.



kikosi cha chelsea ii leo: Cech, Ivanovic, Terry, Cahill, Azpilicueta, Matic, Luiz, Schurrle, Oscar (Salah 67), Hazard, Eto'o (Torres 10).
wachezaji wa haiba: Schwarzer, Lampard, Mikel, Ba, Kalas.


kikosi cha Arsenal: Szczesny, Sagna, Mertesacker, Koscielny (Jenkinson 45), Gibbs, Arteta, Rosicky, Oxlade-Chamberlain (Flamini 45), Cazorla, Podolski (Vermaelen 23), Giroud.
wacheaji wa hakiba: Fabianski, Sanogo, Kallstrom, Gnabry.

kadi nyekundu: Gibbs

Ref: Andre Marriner

























Chapisha Maoni