Ads (728x90)

Inaendeshwa na Blogger.




 
 Timu ya Azam Fc leo hii wamedhihilisha kua wamepania kutwaa ubingwa wa ligi kuu Tanzania mara baada ya kuichabanga Simba kwa Jumla ya bao 2-1 na kutengeneza pengo kubwa la pointi kati yao na Dar Salam yang Africa mabingwa watetezi wa ligi hiyo.

Mabao ya azam yaliwekwa kimiani na Hamis mucha dakika ya 16 pamoja na John Boko  dakika 54 huku kwa upande wa simba bao la kusawazisha likiwekwa  kwenye wavu na beki wa timu hiyo JOSEPH OWINO dakika ya 44 kipindi cha kwanza.

Matokea ya mechi nyingine yanga wamelala bao 2-1 dhidi ya mgambo toka Tanga ambapo kwa sasa Azam anaongoza ligi hiyo kwa tofauti ya pointi 7 dhidi ya yanga.


Chapisha Maoni